Thursday, January 16, 2020

PICHA YA PAMOJA YA WATHEOLOGIA KABLA YA KUBARIKIWA

Picha ya pamoja na Baba Askofu I. Munga wa DKMs-KKKT. pichani ni watheologia waliobarikiwa tarehe 1/12/2019. Hapo walikuwa na wenza wao kwenye picha pamoja na Ofisi kuu ya DKMs

No comments:

Post a Comment